Jumapili, 4 Februari 2018

Mamlaka ya Mungu3 | Baraka za Mungu

3. Baraka za Mungu

Mwa 17:4-6 Na kuhusu mimi, tazama, agano langu liko na wewe, na wewe utakuwa baba yao mataifa mengi. Nalo jina lako halitakuwa Abramu tena, ila jina lako litaitwa Ibrahimu; kwa kuwa nimekufanya uwe baba yao mataifa mengi. Na Mimi nitafanya uwe na uzao ulio mwingi mno, na nitayaunda mataifa kutoka kwako, nao wafalme watatoka kwa wewe.

Mwa 18:18-19 Kuona kwamba Ibrahimu hakika atakuwa taifa kubwa na lenye nguvu, na mataifa yote ya dunia yatabarikiwa kupitia yeye? Kwani namjua, kuwa atawatawala watoto wake na nyumba yake kufuata yeye, na wataishika njia ya Yehova, kufanya haki na hukumu; ili Yehova aweze kumletea Ibrahimu yale ambayo amemwambia.

Jumamosi, 3 Februari 2018

Mamlaka ya Mungu | 2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

Mwa 9:11-13 Na nitaweka agano langu na ninyi, wala miili yote haitaondolewa tena na maji ya gharika; wala hakutakuwa na gharika tena kuiharibu dunia. Naye Mungu akasema, Hii ni alama ya agano ambayo naifanya kati ya Mimi na ninyi na viumbe vyote vyenye uhai vilivyo nanyi, kwa vizazi vya kudumu: naweka upinde wangu mawinguni, na utakuwa alama ya agano kati ya Mimi na dunia.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,
Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

Baada ya Kuumba Viumbe Vyote, Mamlaka ya Muumba Yanathibitishwa na Kuonyeshwa kwa Mara Nyingine Tena Kwenye Agano la Upinde wa Mvua

Mwenyezi Mungu alisema, Mamlaka ya Muumba siku zote yanaonyeshwa na kutekelezwa miongoni mwa viumbe vyote, Naye hatawali tu hatima ya viumbe vyote, lakini pia Anatawala mwanadamu, kiumbe maalum ambacho Aliumba kwa mikono Yake mwenyewe, na kinachomiliki muundo tofauti wa uhai na kinachopatikana kwa mfumo tofauti wa uhai.

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I | Mamlaka ya Mungu (I)


Biblia, Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Mungu Hutumia Maneno ili Kuumba Viumbe Vyote

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I | Mamlaka ya Mungu (I)

Mwenyezi Mungu alisema, Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu?

Ijumaa, 2 Februari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II | 5. Ayubu Baada ya Majaribio yake

 Umeme wa Mashariki | 5. Ayubu Baada ya Majaribio yake

(Ayubu 42:7-9) Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira yangu inawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili: kwa kuwa nyinyi hamjanena yaliyo sawa kunihusu, kama alivyofanya mtumishi wangu Ayubu. Basi sasa, jichukulieni ng’ombe waume saba, na kondoo waume saba, muende kwa mtumishi wangu Ayubu, na mjitolee sadaka ya kuteketezwa; na mtumishi wangu Ayubu atawaombea: kwa kuwa yeye Nitamkubali: nisije Nikawatendea kulingana na makosa yenu, hivi kwamba nyinyi hamkunena maneno yaliyo sawa kunihusu, kama alivyofanya mtumishi wangu Ayubu. Hivyo Elifazi, Mtemani, na Bildadi, Mshuhi, na Sofari, Mnaamathi, wakaenda, wakafanya vile BWANA alivyowaamuru: BWANA pia akamkubali Ayubu.

Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"


Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"


Utambulisho

 
   Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki umepitia ukandamizaji na mateso ya kikatili ya serikali ya kikomunisti ya Uchina. Ni hatari sana kuamini katika Umeme wa Mashariki, na ni salama sana kuamini katika Kanisa la Nafsi Tatu. Hawatapitia taabu na wataweza kuingia katika ufalme wa mbinguni. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli hasa, lakini mateso na kukamatwa ambayo wanapitia ni makali mno.

Alhamisi, 1 Februari 2018

Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili,
Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Xiangwang Mkoa wa Sichuan
Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu. Wanatenda matendo kwa ajili ya familia zao na watoto wao, kazi zao, matarajio, hali katika jamii, majivuno na pesa, kwa sababu ya nguo, kwa sababu ya chakula na mwili—matendo ya nani kwa kweli ni kwa ajili ya Mungu? Hata miongoni mwa wale ambao matendo yao ni kwa ajili ya Mungu, ni wachache tu wanaomfahamu Mungu. Ni wangapi wanaotenda matendo yasiyo kwa maslahi yao? Ni wangapi wasiobagua na kuonea wengine wakiwa na nia ya kudumisha hali yao? Ndivyo Mungu amehukumiwa kifo mara nyingi kwa nguvu, mahakimu katili wasiohesabika wamemhukumu Mungu na mara nyingine tena wakamsulubisha msalabani

Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia,
Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo

Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo

Suxing Mkoa wa Shanxi
Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihisi kwamba sikuwa nachukulia cheo changu kwa uzito. Sikutaka kuwa kama nilivyokuwa katika nyakati zilizopita nikifikiri kwamba mradi nilikuwa kiongozi ningeweza kukamilishwa na Mungu na kwamba iwapo sikuwa kiongozi, basi sikuwa na matumaini. Nilielewa kwamba pasipo kujali jukumu ambalo nilikuwa natimiza, nilihitaji tu kutafuta ukweli na ningefanywa kamili na Mungu; kufuatilia sifa na cheo ni njia ya yule anayempinga Kristo.