Jumanne, 2 Januari 2018

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya


Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Utambulisho
    Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu.

Mungu ni kihafidhina | “Mungu Abariki” Christian Testimony Video Swahili


Mungu ni kihafidhina | “Mungu Abariki” Christian Testimony Video Swahili

Utambulisho
    People often say that "Storms gather without warning and misfortune befalls men overnight." In our present age of rapidly expanding science, modern transportation and material wealth, the disasters that are happening all around us increase each day. When we flip open the newspaper or turn on the TV, what we mainly see is: wars, earthquakes, tsunamis, hurricanes, fires, floods, air crashes, mining disasters, societal unrest, violent conflicts, terrorist attacks etc. All we see are natural calamities and man-made disasters.

Jumatatu, 1 Januari 2018

Umeme wa Mashariki | Matunda Machungu ya Kiburi | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa,
Umeme wa Mashariki | Matunda Machungu ya Kiburi

17. Umeme wa MasharikiMatunda Machungu ya Kiburi

Hu Qing Jijini Suzhou, Mkoani Anhui
Nilipoona maneno ya Mungu yakisema: “Wale miongoni mwenu ambao huhudumu kama viongozi daima hutaka kuwa na ubunifu mkubwa, kuwa wazuri kuliko wengine, kupata hila mpya ili Mungu aweze kuona jinsi kweli mlivyo viongozi wakuu. … Nyinyi daima hutaka kuringa; si huu ni ufunuo kwa usahihi wa asili ya kiburi?” (“Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo), Nilifikiri mwenyewe: Nani ana ujasiri kama huo kujaribu kupata ujanja mpya ya ubunifu? Nani hajui kuwa tabia ya Mungu haistahimili kosa la mwanadamu? Bila shaka siwezi kuthubutu! Mimi binafsi niliamini kuwa nilikuwa na moyo wa kumcha Mungu, na katika kazi yangu sikuthubutu kujaribu kutafuta mbinu.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,  ukweli,
 Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

8. Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau. Daima nimekuwa na hofu ya kuitembea njia ya Paulo, ambayo ndiyo sababu mimi kwa kawaida mara nyingi husoma maneno ya Mungu kuhusu uzoefu wa Petro ili kuona jinsi alivyopata kumjua Mungu. Baada ya kuishi hivi kwa muda, nilihisi kwamba nilikwishakuwa mtiifu zaidi kuliko hapo awali, hamu yangu ya sifa na hadhi ilikuwa imedidimia, na kwamba nilikuwa nimepata kujijua kidogo

Umeme wa Mashariki | Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu,
Umeme wa Mashariki | Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

11. Umeme wa Mashariki | Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumpandisha cheo hadi kuwa kiongozi wa wilaya. Siku moja nilipokuwa nikizungumza na ndugu huyu, alitaja kwamba alihisi kuwa nilikuwa mwenye nguvu sana katika kazi yangu, mkali sana, na kwamba katika mkusanyiko pamoja nami hapakuwa na furaha nyingi .... Niliposikia jambo hili, nilihisi kuwa nilikuwa nimedunishwa. Nilihisi vibaya sana; mara moja nikakuza maoni fulani ya ndugu huyu, na sikukusudia tena kumpandisha cheo kuwa kiongozi wa wilaya.

Jumamosi, 30 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli,
Umeme wa Mashariki | Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka

Umeme wa Mashariki |  Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka

Baixue Mji wa Shenyang
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi, nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi. Wakati huo, nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu. Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana, lakini kwa njia ya ukuzwaji mtakatifu na Mungu, nilipewa nafasi ya kutimiza wajibu wangu katika eneo la kazi la ajabu hivyo. Niliweka nadhiri kwa Mungu moyoni mwangu: Ningefanya lote ninaloweza kumlipa Mungu. Hata hivyo, baada ya kufika, nilitambua utata mwingi katika kazi iliyokuwa ikifanyika.

Ijumaa, 29 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu … | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu,
 Umeme wa Mashariki | Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

 Umeme wa Mashariki | Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Huimin Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan
Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia. Kwa hiyo kama nilikuwa nikiwatunza waumini wapya au kuongoza wilaya, sikuwahi kufikiri kuwa nilizingatia sana hadhi yangu, kwamba nilikuwa mtu wa aina hiyo. Singeweza kamwe kufikiri hata katika miaka milioni moja kwamba ningeonyesha tabia ya aibu kama hiyo wakati mimi mwenyewe nilipobadilishwa ...