Jumapili, 30 Septemba 2018

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs


🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs

Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Saba

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Saba

Kuinuka kwa mazingira pande zetu zote huharakisha kurudi nyuma kwetu katika roho. Usitende kwa moyo mgumu, usipuuze kwa vyovyote vile kama Roho Mtakatifu Ana wasiwasi, usijaribu kuwa mjanja na usiwe na ridhaa kupita kiasi na kuridhika kibinafsi au kuzingatia sana matatizo yako mwenyewe; kitu pekee cha kufanya ni kumwabudu Mungu katika roho na kweli. Huwezi kuyaacha maneno ya Mungu nyuma au kuyapa kisogo; lazima uyaelewae kwa makini, rudia kuomba-kusoma kwako, na uelewe maisha ndani ya maneno hayo.

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho" | Knowing the Substance of Christ


πŸ’žπŸ’žπŸ’ž~~~🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓    πŸ˜ŠπŸ˜Š 

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho" | Knowing the Substance of Christ

I
Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu Yake sio Mwili wa Mungu.

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man


🎼🎼 → → πŸŽ™️πŸŽ™️↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž


Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi.
Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.

Ijumaa, 28 Septemba 2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Tano

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Tano

Milima na mito huenda ikibadilika, vijito hutiririka mbele, na maisha ya mtu ni yenye uvumilivu mdogo kuliko ardhi na anga. Mwenyezi Mungu pekee ndiye maisha ya milele yaliyofufuka milele, katika vizazi hai milele! Vitu vyote na matukio viko katika mikono Yake, Shetani yuko chini ya miguu Yake.

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Themanini

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Themanini

Kila kitu kinahitaji mawasiliano halisi na Mimi ili kupata nuru na kuangazwa; aidha, ni kwa njia hii tu ndio roho inaweza kuwa na amani. La sivyo, haitakuwa na amani. Sasa ugonjwa mbaya zaidi kati yenu ni kutenganisha ubinadamu Wangu wa kawaida kutoka kwa uungu Wangu kamili; aidha, wengi wenu huweka mkazo kwa ubinadamu Wangu wa kawaida, kama kwamba kamwe hawajui kuwa Mimi nina uungu kamili pia. Hii inanikufuru Mimi!

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Neno la Mungu | "Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini" | Can Your Faith Gain the Praise of God?

πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»


Neno la Mungu | "Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini" | Can Your Faith Gain the Praise of God?
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Je, ni desturi ngapi za kidini unazozizingatia? Ni mara ngapi wewe umeasi dhidi ya neno la Mungu na kwenda kwa njia yako mwenyewe? Ni mara ngapi wewe umetia katika vitendo neno la Mungu kwa sababu wewe kwa kweli unajali mizigo Aliyobeba na unatafuta kutimiza mapenzi Yake?

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected


πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»~~~~🌺🌺🌺******πŸ’“πŸ’“πŸ’“


Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected
Mwenyezi Mungu anasema, “Katika kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. Alipata ufahamu wa kina kwamba Yesu hakuwa kama binadamu wa kawaida. Ingawa mwonekano Wake wa binadamu ulikuwa wa kawaida kabisa, Alijaa upendo, huruma, na ustahimilivu kwa binadamu.

Jumatano, 26 Septemba 2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Pili

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Pili

Kanisa la Filadelfia limechukua umbo, na hili limesababishwa kabisa na neema na rehema za Mungu. Watakatifu wameleta upendo wao wa Mungu mbele na kamwe hawakuyumbayumba kutoka kwa njia yao ya kiroho. Kuwa imara katika imani kwamba Mungu mmoja wa kweli Amekuwa mwili, ya kwamba Yeye ndiye Mkuu wa ulimwengu Ambaye hutawala vitu vyote—hii imethibitishwa na Roho Mtakatifu na ni ushahidi thabiti! Kamwe hauwezi kubadilika!

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Themanini

Tamko la Themanini

Kila kitu kinahitaji mawasiliano halisi na Mimi ili kupata nuru na kuangazwa; aidha, ni kwa njia hii tu ndio roho inaweza kuwa na amani. La sivyo, haitakuwa na amani. Sasa ugonjwa mbaya zaidi kati yenu ni kutenganisha ubinadamu Wangu wa kawaida kutoka kwa uungu Wangu kamili; aidha, wengi wenu huweka mkazo kwa ubinadamu Wangu wa kawaida, kama kwamba kamwe hawajui kuwa Mimi nina uungu kamili pia. Hii inanikufuru Mimi! Je, mnajua?

Jumanne, 25 Septemba 2018

ushuhuda wa Umeme wa Mashariki | Kuahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada(II)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi

Kuahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada(II)

Zhou Xuan Mkoa wa Shandong
Siku iliyofuata, askari waovu walikuja na kunihoji tena, kwa kweli walishangaa na kusema: "Ni nini kibaya na uso wako?" Nilipotazama katika kioo, sikuweza kujitambua; askari muovu alikuwa ameupiga uso wangu mijeledi kwa kamba siku iliyopita na ulikuwa umevimba sana na kuwa mweusi na bluu na kuwa kama panda. Nilipoona kuwa uso wangu ulikuwa umebadilika kabisa mpaka kutotambulika, nilihisi chuki kali kwa joka kubwa jekundu na nikafanya azimio langu kuwa shahidi. Sikuweza kabisa kuruhusu njama yake ishinde!

ushuhuda wa Umeme wa Mashariki | Kuahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada(I)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda

ahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada(I)

Zhou Xuan Mkoa wa Shandong
Mnamo Aprili 3, mwaka wa 2003, niliambatana na dada mmoja kumtembelea muumini mpya. Muumini huyu mpya alikuwa bado hajawekwa katika ukweli na aliishia kuturipoti. Kwa sababu hiyo, askari wanne waovu wenye nguo za raia walikuja na kwa ugomvi kutuingiza sisi wawili katika gari lao na kutupeleka kwa kituo cha polisi. Njiani, moyo wangu ulikuwa na wasiwasi mno, kwa sababu mwilini mwangu nilikuwa na peja ya mawasiliano, orodha isiyo kamili ya majina ya wanajumuiya wa kanisa letu, na daftari dogo.

Jumatatu, 24 Septemba 2018

Kuzaliwa Upya Kupitia Neno la Mungu(II)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi

Kuzaliwa Upya Kupitia Neno la Mungu(II)

Wang Gang Mkoa wa Shandong
Baada ya kurudi kwa kile chumba kidogo, nilichubuliwa na kugongwagongwa sana, maumivu yalikuwa yasiyovumilika. Moyo wangu haukuweza kujizuia kuzalisha hisia ya huzuni na udhaifu: Kwa nini waumini wanapaswa kuteseka jinsi hii? Nilihubiri Injili na nia njema za kuwaruhusu watu kuutafuta ukweli na kuokolewa, na bila kutarajia nimepitia mateso haya. Katika kufikiri juu ya hili, nilihisi zaidi kuwa nilikuwa nimekosewa.

Kuzaliwa Upya Kupitia Neno la Mungu(I)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili

Kuzaliwa Upya Kupitia Neno la Mungu(I)

Wang Gang Mkoa wa Shandong
Mimi ni mkulima na kwa sababu familia yangu ni maskini, daima ilinibidi nisafiri kwenda kote kutafuta kazi za muda ili kupata pesa; nilidhani kuwa ningeweza kujipatia maisha mazuri kupitia kazi yangu ya kimwili. Hata hivyo, kwa uhalisi, niliona kuwa hapakuwa na hakikisho la haki za kisheria za wafanyakazi wahamiaji kama mimi; mshahara wangu mara nyingi ulizuiliwa bila sababu yoyote. Mara kwa mara nilidanganywa na kutumiwa na wengine kwa faida yao.

Jumapili, 23 Septemba 2018

Hukumu Ni Mwanga(II)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, neema

Hukumu Ni Mwanga (II)

Zhao Xia Mkoa wa Shandong
Baada ya kupitia adabu na hukumu ya Mungu wakati huu, nilipata ujuzi fulani juu ya mwelekeo wangu wa kuzingatia heshima na hadhi, na nilikuwa radhi kuachana na mwili wangu na kumwamini Mungu na kutekeleza wajibu wangu kulingana na mahitaji Yake. Hata hivyo, uchafu wangu uliotokana na sumu za Shetani zilikuwa zimezama sana. Kina cha nafsi yangu bado kilikuwa kinatawaliwa na ushawishi wa Shetani.

Hukumu Ni Mwanga (I)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Hukumu

πŸ“–πŸ“–Hukumu Ni Mwanga (I)

Zhao Xia Mkoa wa Shandong
Jina langu ni Zhao Xia. Nilizaliwa katika familia ya kawaida. Kutokana na ushawishi wa misemo kama “Mtu huacha jina lake nyuma popote akaapo, kama vile bata bukini hutetea popote arukapo,” na “Kama vile mti huishi kwa sababu ya ganda lake, mtu huishi kwa sababu ya uso wake,” sifa na heshima zikawa muhimu sana kwangu. Kila kitu nilichofanya kilikuwa ili kupata sifa, pongezi, na upendezwaji wa watu wengine.

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Upendo wa Kweli wa Mungu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, nyimbo za love


  • Upendo wa Kweli wa Mungu

    🎼🎼  → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“
  • I
  • Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
  • Moyo wangu una mengi ya kusema
  • ninapoona uso Wake wa kupendeza.
  • Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
  • Neno Lake linanijaza na raha
  • na furaha kutoka kwa neema Yake.

Ijumaa, 21 Septemba 2018

Neno la Mwenyezi Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Utambulisho


Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi.

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God


🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“


Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God

Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini πŸ“–πŸ“–

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu  | Tamko la Sitini

Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami. Matakwa Yangu ya pekee ni kwamba mkue haraka, mchukue mzigo kutoka kwa mabega Yangu na kuuweka kama wenu, mfanye kazi Zangu kwa niaba Yangu, na hilo litauridhisha moyo Wangu.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Hebu twende nje ya maneno ya Mungu na tuzungumze kidogo juu ya masuala yanayohusu maisha yetu, ili maisha yetu yasitawi, na tufikie matumaini ya Mungu kwetu. Hasa, pamoja na ujaji wa leo—wakati wa kila mmoja kuainishwa kulingana na aina, na wa kuadibu—kuna haja kubwa ya kuyalenga mambo muhimu na kumakinikia "maslahi ya pamoja." Haya ni mapenzi ya Mungu, na kile kinachopaswa kutimizwa na watu wote. Tungewezaje kukosa kujitoa kwa ajili ya mapenzi ya Mungu mbinguni?

Jumatano, 19 Septemba 2018

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Nane

Mwenyezi Mungu alisema, Ukiielewa nia Yangu, utaweza kuufikiria mzigo Wangu na unaweza kupata mwanga na ufunuo, na kupata ufunguliwaji na uhuru, kuuridhisha moyo Wangu, kuyaruhusu mapenzi Yangu kwa ajili yako kutekelezwa, kuwaletea watakatifu wote ujenzi wa maadili, na kuufanya ufalme Wangu duniani kuwa imara na thabiti. Jambo la muhimu sasa ni kuelewa nia Yangu, hii ni njia mnayopaswa kuingia katika na hata zaidi ni wajibu wa kutimizwa na kila mtu.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Saba

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu  | Tamko la Hamsini na Saba

Je, umechunguza kila fikira na mawazo yako, na kila tendo lako? Uko wazi kuhusu gani kati ya haya yanalingana na mapenzi Yangu na gani hayalingani? Huna uwezo wa kutambua haya! Mbona hujaja mbele Yangu? Je, ni kwa sababu Sitakuambia, au ni kwa ajili ya sababu nyingine? Unapaswa kujua hili! Kujua kwamba wale walio wazembe hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu kabisa au kupokea mwangaza na ufunuo mkuu.

Jumanne, 18 Septemba 2018

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace


🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“


Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace

Jua la haki linainuka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia.
Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu.
Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja.

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬πŸ˜‡πŸ‘


Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?
Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?


πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸ‘


Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?
Katika siku za mwisho Mwenyezi Mungu anafanya kazi yake ya hukumu na kuleta njia ya uzima wa milele, na ni kwa kukubali ukweli uliolezewa na Kristo siku zile za mwisho tunaweza kupata uzima wa milele. Hata hivyo wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wanasema kwamba uzima upo katika Biblia, na ilimradi tu tuzingatie Biblia basi tunaweza pata uzima wa milele.

Filamu za Kikristo | “Toka Nje ya Biblia” Movie Clip: Mungu Hufanya Kazi Kulingana na Biblia?


πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬

Filamu za Kikristo | “Toka Nje ya Biblia” Movie Clip: Mungu Hufanya Kazi Kulingana na Biblia?
Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi.

Jumapili, 16 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Moja

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Kuhusu shida zinazoibuka kanisani, usiwe na mashaka mengi. Kanisa linapojengwa haiwezekani kuepuka makosa, lakini usiwe na wasiwasi unapokabiliwa na shida hizo; kuwa mtulivu na makini. Sijawaambia hivyo? Omba Kwangu mara nyingi, na Nitakuonyesha kwa wazi nia Zangu. Kanisa ni moyo Wangu na ni lengo Langu la msingi, Nawezaje kutolipenda? Usiogope, mambo kama haya yanapotendeka kanisani, yote yanaruhusiwa na Mimi.

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na TatuπŸ“–πŸ“–πŸ“–πŸ“–

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

πŸ“–πŸ“–maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Tatu

Mwenyezi Mungu alisema, Mimi ndiye mwanzo, na Mimi ndiye mwisho. Mimi ndiye Mungu mmoja wa kweli aliyefufuka na kamili. Nasema maneno Yangu mbele yenu, na lazima muamini Ninachosema kwa thabiti. Mbingu na dunia zinaweza kupita lakini hakuna herufi moja au mstari mmoja wa kile Ninachosema kitawahi kupita. Kumbuka hili! Kumbuka hili!

Jumamosi, 15 Septemba 2018

Matamshi ya Mungu | Tamko la Sitini na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Matamshi ya Mungu | Tamko la Sitini na Nane

Mwenyezi Mungu alisema, Neno Langu linatekelezwa katika kila nchi, mahali, taifa na kikundi, na neno Langu linakamilishwa katika kila pembe wakati wowote. Maafa yanayotokea kila mahali si vita kati ya watu, wala si mapigano na silaha. Hakutakuwa na vita tena baadaye. Wote wako katika mfumbato Wangu. Wote watakabili hukumu Yangu na watadhoofika kati ya maafa.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia moja na Kumi na Nne

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu  | Tamko la Mia moja na Kumi na Nne

Niliumba ulimwengu dunia; Nilitengeneza milima, mito, na vitu vyote; Niliunda miisho ya mifumo ya sayari; Niliwaongoza wana Wangu na watu Wangu; Niliamuru vitu na mambo yote. Sasa, Nitawaongoza wazaliwa Wangu wa kwanza warudi kwenye Mlima Wangu Sayuni, kurudi mahali ambapo Naishi, ambayo itakuwa hatua ya mwisho katika kazi Yangu. Yote ambayo Nimeyatenda (kila kitu kilichofanyika kutoka uumbaji mpaka sasa) yalikuwa kwa sababu ya hatua ya leo ya kazi Yangu, na zaidi ni kwa sababu ya utawala wa kesho, ufalme wa kesho, na kwa ajili ya Mimi na wazaliwa Wangu wa kwanza kuwa na furaha ya milele. Hili limekuwa lengo Langu katika kuumba vitu vyote na yatakuwa mafanikio Yangu ya mwisho wa uumbaji. 

Ijumaa, 14 Septemba 2018

1. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Maneno

Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho

1. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Maneno

Maneno Husika ya Mungu:
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo kwayo Mungu hufanya kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu. Kazi kama hiyo inafanywa ili kwa njia bora zaidi kutimiza shabaha za kumshinda binadamu, kumkamilisha binadamu, na kumwondoa binadamu.

5. Kwa Nini Yasemekana Kwamba Kuzijua Awamu Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kujua Mungu?

Sura ya 3 Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

5. Kwa Nini Yasemekana Kwamba Kuzijua Awamu Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kujua Mungu?

(Fungu Lililochaguliwa la Neno la Mungu)
Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu, na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu. Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu, ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme. Kazi ya kuiumba dunia ilikuwa kazi ya kusababisha uwepo wa wanadamu wote. Haikuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu, na haina uhusiano na kazi ya kumwokoa mwanadamu, kwa kuwa dunia ilipoumbwa mwanadamu hakuwa amepotoshwa na Shetani, na hivyo hakukuwa na haja ya kutekeleza kazi ya kumwokoa mwanadamu.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo,


  • 🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“****🌻🌻🌻

  •  
  • Upendo na huruma za Mungu
  • hupenyeza kazi Yake
  • ya usimamizi kwa utondoti.
  • I
  • Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
  • Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord

πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸ‘πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»~~~~🌺🌺🌺*****πŸ’“πŸ’“πŸ’“~~~~🌺🌺🌺
Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord

Miaka 2,000 iliyopita, Bwana Yesu alipofanya kazi ya ukombozi, Alipitia kashfa mbaya na shutuma kutoka kwa jamii ya kidini ya Kiyahudi. Viongozi wa Kiyahudi walijiunga na serikali ya Kirumi na kumsulubisha msalabani.

Jumatano, 12 Septemba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸ‘"


Utambulisho


Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸ‘"



Mwenyezi Mungu alivyosema, "Huyu Aitwaye Mungu si Roho Mtakatifu pekee, huyo Roho, Roho aliyoongezeka mara saba, Roho anayehusisha yote, bali pia mtu, mtu wa kawaida, mtu wa kipekee wa kawaida. Si wa kiume pekee, bali pia kike.

nyimbo za love | Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, nyimbo za love,


  • 🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“
  •  
  • I
  • Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako.
  • Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
  • Kukutunza hukoleza moyo wangu;
  • kukutumikia na mawazo yangu yote.
  • Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako;

Jumanne, 11 Septemba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Mazungumzo Mafupi Kuhusu 'Ufalme wa Milenia Umefika'"

Utambulisho


Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Mazungumzo Mafupi Kuhusu 'Ufalme wa Milenia UmefikaπŸŽ¬πŸ˜‡πŸ‘'"


Mwenyezi Mungu alivyosema, "Wakati wa Enzi ya Ufalme wa Milenia, watu tayari watakuwa wamefanywa wakamilifu, na tabia mbovu ndani yao zitakuwa zimetakaswa.

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

πŸŽ¬πŸ‘€πŸ‘ **********     πŸ’“πŸ’“πŸ’“~~~~🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸ‘πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»~~~~🌺🌺🌺    **********     πŸ’“πŸ’“πŸ’“~~~~🌺🌺🌺🌺 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa.

Katika Enzi ya Ufalme, Neno Linatimiza Kila Kitu

Katika Enzi ya Ufalme, Neno Linatimiza Kila Kitu

πŸ“–πŸ“–~~~🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓    πŸ˜ŠπŸ˜Š
I
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anaikaribisha enzi mpya na neno.
Anabadilisha mbinu ya kazi Yake, anafanya kazi ya enzi nzima na neno.
Hii ni kanuni ambayo Mungu anafanya kazi nayo katika Enzi ya Neno.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Umuhumi wa Maombi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Maombi,

Umuhumi wa Maombi

🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓    πŸ˜ŠπŸ˜Š 
I
Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kutiwa nuru na kuwa na mawazo ya nguvu zaidi.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.

Jumamosi, 8 Septemba 2018

4. Uhusiano Kati ya Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

Sura ya 3 Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

4. Uhusiano Kati ya Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

Maneno Husika ya Mungu:
Kutoka kwa kazi ya Yehova mpaka ile ya Yesu, na kutoka kwa kazi ya Yesu hadi kwa kazi iliyoko kwa awamu hii ya sasa, awamu hizi tatu zinajumlisha upana wote wa usimamizi wa Mungu, na zote ni kazi za Roho mmoja. Kutoka Alipoumba ulimwengu, Mungu Amekuwa Akisimamia wanadamu. Yeye ndiye Mwanzo na ndiye Mwisho; Yeye ndiye wa Kwanza na wa Mwisho, na Yeye ndiye mwanzilishi wa enzi na Yeye ndiye huleta enzi kwenye kikomo. Awamu tatu za kazi, katika enzi tofauti na maeneo mbalimbali, hakika yanafanywa na Roho mmoja. Wote ambao wanatenganisha awamu hizi tatu wanampinga Mungu.